Kupro
|
|||||
| Wito la taifa: none | |||||
| Wimbo wa taifa: Ύμνος εις την Ελευθερίαν imnos is tin eleftherian Wimbo la uhuru1 |
|||||
| Mji mkuu | Nikosia |
||||
| Mji mkubwa nchini | Nikosia | ||||
| Lugha rasmi | Kigiriki, Kituruki | ||||
| Serikali | Jamhuri Dimitris Christofias |
||||
| Uhuru Tarehe |
16 Agosti 1960 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
9,251 km² (ya 167) -- |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - 2005 sensa - Msongamano wa watu |
784,301 (ya 157) 835,000 90/km² (ya 105) |
||||
| Fedha | Cyprus Pound (CYP) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .cy3 | ||||
| Kodi ya simu | +357
- |
||||
| 1 Sawa na wimbo la taifa la Ugiriki |
|||||
Kupro (pia: Kuprosi, Kipro, Saiprasi, Cyprus) ni nchi ya kisiwani kwenye Mediteranea. Kijiografia ni sehemu ya Asia lakini kiutamaduni na kisiasa ni sehemu ya Ulaya. Mji mkuu ni Nikosia.
Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kigiriki, wengine Kituruki. Tangu vita ya Kupro ya 1974 kisiwa kimegawiwa. Kaskazini imetawaliwa na Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini kisichotambuliwa kimataifa.
Kisiwa cha shaba[hariri]
Zamani za Kale kisiwa kilikuwa chanzo cha shaba nyingi iliyopatikana katika eneo la Mediteranea ya mashariki. Jina la kikemia la shaba "kupri" latokana na jina la kisiwa.
Viungo vya Nje[hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kupro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kupro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||
| Nchi na maeneo ya Asia |
|
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
| 1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |