Jiografia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jiografia ni somo la Dunia na vipengele vyake, wakazi wake, na maajabu yake.[1] Neno jiografia linatokana na maneno ya Kigiriki gê ("Dunia") na graphein ("kuandika"). Ina maana ya "kuandika kuhusu Dunia". Neno hili lilianza kutumiwa kwa mara ya kwanza na mwanasayansi mmoja aitwaye Eratosthenes (276-194 KK).
Sehemu za jiografia ni vitu kama mabara, bahari, mito na milima. Wakazi wake ni watu wote na wanyama waishio juu yake. Maajabu yake ni vitu vinavyotokea kama vile maji kujaa na kupwa, upepo, na tetemeko la ardhi.
Yaliyomo |
[hariri] Afrika
[hariri] Afrika ya Mashariki
[hariri] Afrika ya Kati
- Gabon
- Guinea ya Ikweta
- Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Zaire)
- Jamhuri ya Kongo
- Kamerun
- Sao Tome na Principe
[hariri] Afrika ya Kaskazini
[hariri] Afrika ya Kusini
- Angola
- Botswana
- Lesotho
- Malawi
- Mauritius
- Msumbiji (Mozambiki)
- Namibia
- Afrika Kusini
- Uswazi (Swaziland)
- Zambia
- Zimbabwe
[hariri] Afrika ya Magharibi
- Benin
- Burkina Faso
- Chadi
- Cabo Verde
- Ivory Coast
- Gambia
- Ghana
- Guinea
- Guinea Bisau
- Liberia
- Mali
- Mauritania
- Niger
- Nigeria
- Senegal
- Sierra Leone
- Togo
[hariri] Amerika ya Kaskazini
[hariri] Amerika ya Kati
[hariri] Nchi za barani
*(Meksiko mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati kwa sababu za kiutamaduni)
[hariri] Nchi za visiwa vya Karibi
- Antigua na Barbuda
- Bahamas
- Barbados
- Dominica
- Jamhuri ya Dominika
- Grenada
- Haiti
- Jamaika
- Kuba
- Saint Kitts na Nevis
- Saint Lucia
- Saint Vincent na Grenadini
[hariri] Amerika ya Kusini
- Argentina
- Bolivia
- Brazil
- Chile
- Ekuador
- Guyana
- Guyana ya Kifaransa
- Kolombia
- Paraguay
- Peru
- Surinam
- Uruguay
- Venezuela
[hariri] Asia
[hariri] Asia ya Kati
[hariri] Asia ya Kaskazini
[hariri] Asia ya Mashariki
- Uchina (pamoja na Taiwan)
- Japani
- Korea Kaskazini
- Korea Kusini
[hariri] Asia ya Kusini-Mashariki
- Brunei
- Indonesia
- Kamboja
- Laos
- Malaysia
- Myanmar (zamani iliitwa Burma)
- Philippines
- Singapur
- Thailand (zamani iliitwa Siam)
- Timor Mashariki
- Vietnam
[hariri] Asia ya Kusini
[hariri] Asia ya Magharibi
- Armenia
- Azerbaijan
- Georgia
- Irak
- Israel
- Yordani
- Libanon
- Palestina
- Shamu (au: Syria)
- Uajemi (au Iran au Persia)
- Uturuki
[hariri] Bara Arabu
[hariri] Ulaya
[hariri] Oceania
[hariri] Mfumo wa jua na sayari zake
- Jua
- Utaridi (Zebaki)
- Zuhura (Ng'andu)
- Dunia (Ardhi)
- Mirihi (Meriki - Mars)
- Mshtarii (Sumbula)
- Zohari (Sarateni)
- Uranus
- Neptun
- Pluto
[hariri] Tazama pia
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jiografia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Cite error: <ref> tags exist, but no <references/> tag was found