Upepo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alama za upepo usoni wa maji
Alama za upepo usoni wa maji

Upepo ni mwendo wa hewa. Husababishwa na joto la jua. Hewa ikipashwa joto na jua hupanuka huwa nyepesi na kupanda juu. Hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.

Kwa lugha ya metorolojia kuna mwendo kutoka eneo la shindikizo juu la hewa kwa eneo eneo lenye shindikizo duni ya hewa.

Kuna aina nyingi za upepo. Upepo mkali huitwa dhoruba. Ikizunguka ndani yake ni tufani, na tufani ikianza baharini ni kimbunga.


Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Upepo" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Upepo kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi