Togo
|
|||||
| Wito la taifa: Travail, Liberté, Patrie (Kifaransa: Kazi, Uhuru, Taifa) |
|||||
| Wimbo wa taifa: Salut à toi, pays de nos aïeux (Usalimiwe nchi ya wazee wetu) |
|||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Lomé |
||||
| Mji mkubwa nchini | Lomé | ||||
| Lugha rasmi | Kifaransa | ||||
| Serikali | Jamhuri kwenye njia ya kuwa na utawala wa kikatiba Edem Kodjo |
||||
| uhuru kutoka Ufaransa |
27 Aprili 1960 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
56,785 km² (ya 122) 4.2 |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
6,145,000 * (ya 102 **) 97.7/km² (ya 75 **) |
||||
| Fedha | CFA franc (XOF) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+0) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .tg | ||||
| Kodi ya simu | +228
- |
||||
Togo ni nchi katika Afrika ya Magharibi kwenye mwambao wa Ghuba la Guinea ya Atlantiki ikipakana na Benin upande wa mashariki, Burkina Faso kwa kaskazini na Ghana kwa mashariki. Idadi ya wakazi ilikuwa takriban milioni 5,4 mwaka 2005. Mji mkuu ni Lome.
Togo ni nchi ndogo katika Afrika yenye 56 785 km² pekee kwa umbo la pembenne yenye urefu wa 550 km na upana wa takriban 130 km. Mwelekeo wa eneo la nchi ni kaskazini - kusini kuna kanda zote za kijiografia ya Afrika ya Magharibi kuanzia pwani lenye machanga na misitu ya minazi kwenye kusini, vilima vya nyanda za juu katikati na savana pamoja na maeneo yabisi zaidi ya Sahel kaskazini.
Historia [hariri]
Nchi ilianzishwa kama koloni ya Togo ya Kijerumani katika pengo kati ya maeneo ya Uingereza na Ufaransa.
Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia koloni ya Kijerumani iligawiwa kati ya majirani chini ya mamlaka ya Shirikisho la Mataifa na baadaye ya Umoja wa Mataifa.
Katika Desemba ya 1956 wakazi wa Togo ya Kiingereza waliamua kwa kura kubaki na Ghana. Hivyo ni Togo ya Kifaransa pekee iliyopata uhuru mwaka 1960.
Rais wa kwanza alikuwa Sylvanus Olympio. (ya kuendelea)
Angalia pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
- (Kifaransa) Serikali ya Togo
| Nchi za Afrika | |
|---|---|
| Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
| Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
| Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Togo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
