Guinea
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwa maana mengine, tazama Guinea (maana).
|
|||||
| Wito la taifa: Travail, Justice, Solidarité (Kifaransa: Kazi, Haki, Kushikamana) |
|||||
| Wimbo wa taifa: Liberté (Uhuru) | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Conakry |
||||
| Mji mkubwa nchini | Conakry | ||||
| Lugha rasmi | Kifaransa (rasmi), Pulaar, Kissi, Kpelle, Kimaninka, Kisusu, Kitoma | ||||
| Serikali | Jamhuri Lansana Conté (aliaga dunia 23.12.2008) |
||||
| Uhuru kutoka Ufaransa |
2 Oktoba 1958 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
245,857 km² (ya 75) kidogo sana |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 1996 sensa - Msongamano wa watu |
9,402,000 (ya 83) 7,156,406 38.5/km² (ya 133) |
||||
| Fedha | Guinean franc (GNF) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC0) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .gn | ||||
| Kodi ya simu | +224
- |
||||
Guinea (pia: Gine, Gini) ni nchi katika Afrika ya Magharibi. Imepakana na Guinea-Bisau, Senegal na Mali upande wa kaskazini, Côte d'Ivoire, Liberia na Sierra Leone kusini halafu Bahari Atlantiki upande wa magharibi.
Eneo lake ni chanzo ya mito mikubwa ya Niger, Senegal na Gambia. Jina la "Guinea" liliwahi kutaja sehemu kubwa ya Afrika ya Magharibi kati ya jangwa Sahara na Ghuba ya Guinea ya Atlantiki likimaanisha "nchi ya watu weusi" kwa lugha ya kiberber.
Yaliyomo |
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
Serikali [hariri]
- (Kifaransa) Serikali ya Guinea
- (Kifaransa) Permanent UN Mission of the Republic of Guinea
Habari [hariri]
- (Kiingereza) CIA World Factbook - Guinea
- (Kiingereza) BBC News Country Profile - Guinea
Musiki [hariri]
- Cora Connection West African music resources
Orodha [hariri]
- Open Directory Project - Guinea directory category
- Stanford University - Africa South of the Sahara: Guinea directory category
- The Index on Africa - Guinea directory category
- University of Pennsylvania - African Studies Center: Guinea directory category
- Yahoo! - Guinea directory category
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guinea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi za Afrika | |
|---|---|
| Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
| Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
| Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia | |
