Jibuti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: Jibuti tumeichagua | |||||
| Wimbo wa taifa: {{{national_anthem}}} | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Jibuti |
||||
| Mji mkubwa nchini | Jibuti | ||||
| Lugha rasmi | Kiarabu na Kifaransa | ||||
| Serikali | Jamhuri Ismail Omar Guelleh |
||||
| Uhuru Tarehe |
27 Juni 1977 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
23,000 km² (ya 147) 0.09% (20 km² / 7.7 mi²) |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
793,000 (ya 160) 460,700 21/km² (ya 154) |
||||
| Fedha | Franc (DJF) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) +3 (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .dj | ||||
| Kodi ya simu | +253 |
||||
| Alama ya kimataifa ya magari | {{{vehicle_code}}} |
||||
Jibuti (pia: Djibouti, Kiarabu: جيبوتي) ni nchi ndogo ya Afrika ya Mashariki kwenye Pembe la Afrika. Imepakana na Eritrea, Ethiopia na Somalia barani. Kuna pwani la Bahari ya Shamu na Ghuba ya Aden.
Nchi ilikuwa koloni ya Somalia ya Kifaransa. Sababu ya kuanzishwa kwa koloni ilikuwa nia ya Ufaransa ya kuwa na bandari ya mji wa Jibuti karibu na Bab el Mandeb inayotawala mawasiliano kati ya Bahari Hindi na Bahari ya Shamu kuelekea Mfereji wa Suez.
Ng'ambo ya bahari iko nchi ya Yemen kwa umbali wa 20 km pekee.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jibuti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi za Afrika | |
|---|---|
| Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
| Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
| Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia | |
