1977
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | ►
◄◄ | ◄ | 1973 | 1974 | 1975 | 1976 | 1977 | 1978 | 1979 | 1980 | 1981 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1977 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 5 Februari - Kuundwa kwa Chama cha Mapinduzi, chama tawala cha Tanzania
- 27 Juni - Nchi ya Jibuti inapata uhuru kutoka Ufaransa.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1977 MCMLXXVII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5737 – 5738 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1969 – 1970 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1426 ԹՎ ՌՆԻԶ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1397 – 1398 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1355 – 1356 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2032 – 2033 |
| - Shaka Samvat | 1899 – 1900 |
| - Kali Yuga | 5078 – 5079 |
| Kalenda ya Kichina | 4673 – 4674 丙辰 – 丁巳 |
- 22 Januari - Hidetoshi Nakata, mchezaji wa mpira kutoka Japani
- 20 Februari - Zoltán Trepák, mchezaji wa mpira kutoka Hungaria
- 16 Aprili - Alek Wek, mrembo kutoka Sudan
- 23 Aprili - John Cena, mwanamwereka, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1 Juni - Sarah Wayne Callies, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 13 Julai - Ashley Scott, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 17 Oktoba - Andre Villas Boas, kocha wa mpira wa Ureno
- 10 Novemba - Brittany Murphy, mwigizaji na mwimbaji kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 5 Mei - Ludwig Erhard, Chansela wa Ujerumani (1963-1966)
- 3 Juni - Archibald Vivian Hill (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1922)
- 2 Julai - Vladimir Nabokov, mwandishi wa Urusi na wa Marekani
- 4 Agosti - Edgar Adrian (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932)
- 16 Agosti - Elvis Presley, mwimbaji kutoka Marekani
- 12 Septemba - Steve Biko, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini (aliuawa na mapolisi)
- 25 Desemba - Charlie Chaplin, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
Wikimedia Commons ina media kuhusu: