Wikimedia Commons
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikimedia Commons (pia huitwa "Wikicommons") ni hazina ya kuhifadhia na kutumia faili za picha, za sauti na nyinginezo. Utumiaji wa faili hizo ni huru kwa wikipedia za lugha zote; tena siyo lazima kuzipakia kwenye wikipedia mojamoja kwa vile zinapatikana kutoka wikipedia zote. Wikimedia Commons ni mradi wa Wikimedia Foundation.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |