27 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1869 - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 1869 - Hans Spemann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935)
- 1880 - Helen Keller, mwandishi asiyeona wala kusikia kutoka nchini Marekani
- 1959 - Khadja Nin, mwimbaji kutoka Burundi
Waliofariki [hariri]
- 1844 - Joseph Smith, Kijana, mwanzilishi wa Umormoni aliuawa
- 2005 - George Lilanga, msanii Mmakonde kutoka Tanzania