21 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1002 - Papa Leo IX
- 1905 - Jean-Paul Sartre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1964)
- 1945 - Aloysius Balina, askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Tanzania
- 1953 - Benazir Bhutto, mwanasiasa kutoka Pakistan
- 1973 - Juliette Lewis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 1591 - Aloysius Gonzaga, mtawa kutoka Italia
- 1914 - Bertha von Suttner (mwandishi Mwaustria, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1905)
- 1957 - Johannes Stark (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1919)