1942
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1939 1940 1941 - 1942 - 1943 1944 1945 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 23 Januari - Salim Ahmed Salim, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 12 Aprili - Jacob Zuma, mwanasiasa wa Afrika Kusini
- 18 Juni - Thabo Mbeki, Rais wa Afrika Kusini
- 26 Juni - Gilberto Gil, mwanamuziki na Waziri wa Utamaduni wa Brazil
- 13 Julai - Harrison Ford, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 28 Agosti - Jose Eduardo dos Santos, Rais wa Angola
- 17 Desemba - Muhammadu Buhari, Rais wa Nigeria (1983-1985)
bila tarehe
- Ebenezer Obey, mwanamuziki wa Nigeria
[hariri] Waliofariki
- 10 Machi - William Henry Bragg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915)
- 17 Aprili - Jean Perrin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1926)
- 3 Agosti - Richard Willstatter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1915
- 9 au 10 Agosti - Edith Stein, mwanafalsafa kutoka Ujerumani

