23 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1791 - James Buchanan, Rais wa Marekani (1857-1861)
- 1858 - Max Planck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1918)
- 1867 - Johannes Fibiger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1926)
- 1902 - Halldor Laxness (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1955)
- 1942 - Étienne Balibar, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1973 - Marcela Pezet, mwigizaji filamu na tamthilia kutoka Mexiko
- 1977 - John Cena, mwanamwereka, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 997 - Adalbert wa Prague
- 1616 - Washairi Mwingereza William Shakespeare na Mhispania Miguel de Cervantes walikufa wote tarehe 23 Aprili 1616 ingawa Shakespeare alikufa siku 11 baada ya Cervantes - lakini mmoja alikufa nchini Hispania (kalenda ya Gregori) na mwingini nchini Uingereza (bado kalenda ya Juliasi)
- 1850 - William Wordsworth, mwandishi kutoka Uingereza
- 1951 - Charles Dawes (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925)
- 2007 - Boris Yeltsin, Rais wa Urusi (1991-1999)