John Cena
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Felix Anthony Cena (amezaliwa tar. 23 Aprili, 1977 mjini West Newbury, Massachutts, Marekani) ni mwanamwereka, mwimbaji wa muziki wa Rap na pia mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani.
[hariri] Maswala ya Uigizaji
Cena ameanza shughuli za uigizaji mnamo Oktoba mwaka 2003 katika kutangaza kampuni ya vinywaji iitwayo "Energy Drink" na "YJ Stinger". Ilivyofika Novemba mwaka 2006, ametoa filamu yenye kutangaza Mgahawa fulani Uitwao "Subway" ambayo filamu ilianza kurushwa hewani Januari mwaka 2007
[hariri] Filamu za WWE
Nembo ya WWE Filamu
- The Scorpion King (2002) - Nyota The Rock
- The Rundown (2003) - Nyota The Rock
- Walking Tall (2004) - Nyota The Rock
- The Mania of WrestleMania (2004)
- See No Evi (2006) - Nyota Kane
- The Marine (2006) - Nyota John Cena
- The Condemned (2007) - Nyota Stone Cold Steve Austin
- Journey of Death (2008) - Nyota Triple H
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Cena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |