1973
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | ►
◄◄ | ◄ | 1969 | 1970 | 1971 | 1972 | 1973 | 1974 | 1975 | 1976 | 1977 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1973 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 24 Septemba - Nchi ya Guinea Bisau inatangaza kuwa huru kutoka Ureno.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1973 MCMLXXIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5733 – 5734 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1965 – 1966 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1422 ԹՎ ՌՆԻԲ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1393 – 1394 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1351 – 1352 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2028 – 2029 |
| - Shaka Samvat | 1895 – 1896 |
| - Kali Yuga | 5074 – 5075 |
| Kalenda ya Kichina | 4669 – 4670 壬子 – 癸丑 |
- 23 Aprili - Marcela Pezet, mwigizaji filamu na tamthilia kutoka Mexiko
- 21 Juni - Juliette Lewis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Julai - Kate Beckinsale, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 22 Oktoba - Ichiro Suzuki, mchezaji wa baseball kutoka Japani
- 12 Novemba - Radha Mitchell, mwigizaji filamu kutoka Australia
Waliofariki [hariri]
- 22 Januari - Lyndon B. Johnson, Rais wa Marekani (1963-69)
- 11 Februari - Johannes Hans Daniel Jensen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)
- 23 Februari - Dickinson Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 6 Machi - Pearl S. Buck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938)
- 8 Aprili - Pablo Picasso, mchoraji kutoka Hispania
- 10 Juni - William Inge (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954)
- 20 Julai - Bruce Lee, mtaalamu wa Kung Fu na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 12 Agosti - Walter Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 12 Agosti - Karl Ziegler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1963)
- 16 Agosti - Selman Waksman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1952)
- 17 Agosti - Conrad Aiken, mwandishi kutoka Marekani
- 2 Septemba - J.R.R. Tolkien, mtaalamu wa Kiingereza na mwandishi wa Bwana wa Mapete
- 21 Septemba - William Plomer, mwandishi wa Afrika Kusini
- 23 Septemba - Pablo Neruda (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1971)
- 25 Oktoba - Abebe Bikila (mwanariadha Mhabeshi)
- 11 Novemba - Artturi Ilmari Virtanen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: