18 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1905 - George Hitchings (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988)
- 1940 - Joseph Goldstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1985)
- 1947 - James Woods, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 1853 - William Rufus de Vane King, Kaimu Rais wa Marekani (1853)
- 1955 - Albert Einstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1921)
- 1993 - Masahiko Kimura, mwanariadha kutoka Japani