Albert Einstein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Albert Einstein alivyopigiwa picha na Oren Turner, 1947

Albert Einstein (14 Machi, 187918 Aprili, 1955) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadaye alihamia Marekani. Hasa anajulikana kwa nadharia ya uhusianifu. Mwaka wa 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Einstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine