1933
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | ►
◄◄ | ◄ | 1929 | 1930 | 1931 | 1932 | 1933 | 1934 | 1935 | 1936 | 1937 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1933 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
- 30 Januari - Adolf Hitler aliteuliwa kuwa Chansella wa Ujerumani.
- 23 Machi - mwisho wa maharamisho ya pombe nchini Marekani (sheria ya kitaifa tangu 1920)
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1933 MCMXXXIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5693 – 5694 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1925 – 1926 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1382 ԹՎ ՌՅՁԲ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1352 – 1353 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1311 – 1312 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1988 – 1989 |
| - Shaka Samvat | 1855 – 1856 |
| - Kali Yuga | 5034 – 5035 |
| Kalenda ya Kichina | 4629 – 4630 壬申 – 癸酉 |
- 1 Aprili - Claude Cohen-Tannoudji, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997
- 26 Aprili - Arno Penzias (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978)
- 3 Mei - Steven Weinberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979)
- 25 Mei - Patrick Cullinan, mwandishi wa Afrika Kusini
- 6 Juni - Heinrich Rohrer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986)
- 14 Agosti - Richard Ernst (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1991)
- 23 Agosti - Robert Curl (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996)
- 19 Septemba - Ingrid Jonker, mwandishi wa Afrika Kusini
- 4 Novemba - Emeka Ojukwu (mwanasiasa Mnigeria)
- 15 Novemba - Gloria Foster, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 3 Desemba - Paul Crutzen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995)
Waliofariki[hariri]
- 5 Januari - Calvin Coolidge, Rais wa Marekani (1923-1929)
- 31 Januari - John Galsworthy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1932)
- 1 Aprili - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: