Nadharia ya uhusianifu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
Makala hii au sehemu ya makala hii inatumia lugha inayohitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
Nadharia ya uhusianifu iliundwa na Albert Einstein. Ni pamoja na nadharia uhusianifu maalum (mwaka 1905) na nadharia uhusianifu ya jumla (1916).
Nadharia uhusianifu maalum husema:
- Wachunguzi wawili wakiwa na mwendo mingine, hukuona wakati na umbali hubadilishwa, katika fomyula γ=(1-v2/c2)-1/2.
- Kasi ya nuru huwa sawa kwa wachunguzi wote.
Nadharia uhusianifu ya jumla huelezea uvutano kama uviringo wa wakati na nafasi. Hurefusha nadharia ya uvutano ya Isaac Newton. Hutumiwa na kosmolojia kisasa.
Majaribio wengi wamethibitisha nadharia zote mbili,[1] kama vile majaribio wa Michelson-Morley na majaribio wa Ives-Stilwell (nadharia ya maalum uhusiano), na majaribio wa Pound-Rebka (nadharia ya jumla ya uhusiano).