1916
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | ►
◄◄ | ◄ | 1912 | 1913 | 1914 | 1915 | 1916 | 1917 | 1918 | 1919 | 1920 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1916 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1916 MCMXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5676 – 5677 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1908 – 1909 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1365 ԹՎ ՌՅԿԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1334 – 1335 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1294 – 1295 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1971 – 1972 |
| - Shaka Samvat | 1838 – 1839 |
| - Kali Yuga | 5017 – 5018 |
| Kalenda ya Kichina | 4612 – 4613 乙卯 – 丙辰 |
- 7 Januari - Fernando Sancho, mwigizaji filamu kutoka Hispania
- 10 Januari - Sune Bergström, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 12 Januari - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
- 26 Machi - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 11 Mei - Camilo Jose Cela (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1989)
- 8 Juni - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 11 Julai - Aleksander Prokhorov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964)
- 6 Agosti – Richard Hofstadter (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1956)
- 25 Agosti - Frederick Robbins (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954)
- 19 Oktoba - Jean Dausset, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 15 Desemba - Maurice Wilkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
Waliofariki [hariri]
- 6 Februari - Rubén Darío, mwandishi kutoka Nikaragua
- 20 Februari - Klas Pontus Arnoldson (mwanasiasa Msweden, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 16 Julai - Ilya Mechnikov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1908)
- 23 Julai - William Ramsay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904)
- 4 Septemba - José Echegaray y Eizaguirre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1904)
- 15 Novemba - Henryk Sienkiewicz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1905)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: