4 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1877 - Heinrich Otto Wieland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1927)
- 1882 - John Bauer, mchoraji kutoka Uswidi
- 1971 - Joseph Kabila, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1975 - Angelina Jolie, muigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 1830 - Antonio José de Sucre, Rais wa Peru (1823) na Rais wa Bolivia (1825-28), aliuawa
- 1876 - Abdulaziz I, Sultani wa Milki ya Osmani (1861-1876)
- 1887 - William Wheeler, Kaimu Rais wa Marekani (1877-1881)