9 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1534 - Jacques Cartier ni Mzungu wa kwanza kugundua mto wa St. Lawrence.
- 1815 - Mwisho wa Mkutano wa Vienna uliorekebisha hali ya siasa ya Ulaya.
- 1856 - Wamormoni 500 wanatoka mji wa Iowa City katika jimbo la Iowa na kuelekea magharibi kwenda mji wa Salt Lake City katika jimbo la Utah wakibeba mali zao zote kwenye mikokoteni.
[hariri] Waliozaliwa
- 1640 - Kaisari Leopold I wa Ujerumani
- 1672 - Tsar Peter I wa Urusi
- 1843 - Bertha von Suttner (mwandishi Mwaustria, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1905)
- 1875 - Henry Dale (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1936)
- 1935 - Pius Msekwa, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1940 - Abdisalam Issa Khatib, mbunge wa Tanzania
- 1963 - Johnny Depp, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 68 - Kaisari wa Roma, Nero anajiua.
- 373 - Mtakatifu Efrem wa Syria
- 1870 - Charles Dickens, mwandishi maarufu Mwingereza
- 1959 - Adolf Windaus (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1928)
- 1974 - Miguel Asturias (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1967)
- 1987 - Elijah Masinde, mwanzilishaji wa Dini ya Musambwa
- 1989 - George Beadle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)