Abdisalam Issa Khatib
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abdisalam Issa Khatib (amezaliwa tar. 9 Juni 1940) ni mbunge wa jimbo la Makunduchi katika bunge la kitaifa tangu 1995 huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Abdisalam Issa Khatib (10 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |