Henry Dale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henry Hallett Dale

Henry Hallett Dale (9 Juni 187523 Julai 1968) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza hali ya kikemia ya nevi. Mwaka wa 1936, pamoja na Otto Loewi alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Pia alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Dale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.