1935
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | ►
◄◄ | ◄ | 1931 | 1932 | 1933 | 1934 | 1935 | 1936 | 1937 | 1938 | 1939 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1935 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1935 MCMXXXV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5695 – 5696 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1927 – 1928 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1384 ԹՎ ՌՅՁԴ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1354 – 1355 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1313 – 1314 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1990 – 1991 |
| - Shaka Samvat | 1857 – 1858 |
| - Kali Yuga | 5036 – 5037 |
| Kalenda ya Kichina | 4631 – 4632 甲戌 – 乙亥 |
- 8 Januari - Elvis Presley, mwimbaji kutoka Marekani
- 31 Januari - Kenzaburo Oe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1994)
- 9 Juni - Pius Msekwa, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 17 Julai - Donald Sutherland, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 10 Desemba - Emmanuel Mapunda, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 30 Desemba - Omar Bongo, Rais wa Gabon
bila tarehe
- Gianni Garko, mwigizaji filamu kutoka Yugoslavia
Waliofariki [hariri]
- 12 Machi – Michael Pupin (mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1924)
- 16 Machi - John Macleod (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1923)
- 21 Mei - Jane Addams (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931)
- 13 Juni – Douglas Southall Freeman (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1935)
- 13 Septemba - Arthur Henderson (mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1934)
- 4 Novemba - Charles Richet (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1913)
- 25 Novemba - Iyasu V, Mfalme Mkuu wa Ethiopia
- 13 Desemba - Victor Grignard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: