20 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 20 Juni ni sikukuu ya Mtakatifu Papa Silverio.
Matukio [hariri]
- 1667 - Uchaguzi wa Papa Klementi IX
Waliozaliwa [hariri]
- 1819 - Jacques Offenbach, mtungaji wa muziki kutoka Ujerumani
- 1861 - Frederick Hopkins (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929)
- 1909 - Errol Flynn (alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Kimarekani, mwaka wa 1959).
- 1920 - Amos Tutuola, mwandishi kutoka Nigeria
- 1983 - Sylvia Bahame, Mrembo wa Tanzania, mwaka wa 2003
Waliofariki [hariri]
- 537 - Mtakatifu Papa Silverio
- 981 - Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg, askofu wa mji wa Magdeburg, Ujerumani
- 1883 - John William Colenso, askofu wa Kanisa Anglikana nchini Afrika Kusini kutoka Uingereza
- 1958 - Kurt Alder (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950)