6 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1523 - Uchaguzi wa Gustav Wasa kuwa mfalme wa Uswidi katika mji wa Strangnas
- 1752 - Moto unateketeza sehemu za mji wa Moscow.
Waliozaliwa [hariri]
- 1799 - Aleksander Pushkin, mwandishi kutoka Urusi
- 1875 - Thomas Mann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1929)
- 1933 - Heinrich Rohrer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986)
- 1943 - Richard Smalley (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996)
- 1952 - Ibrahim Lipumba, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1972 - Peter Joseph Serukamba, mwanasiasa wa tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1946 - Gerhart Hauptmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1912)
- 1961 - Carl Gustav Jung, mwanasaikolojia kutoka Uswisi
- 1996 - George Snell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980