3 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1873 - Otto Loewi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1936)
- 1899 - Georg von Bekesy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1961
- 1913 - Jack Cope, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1924 - Torsten Wiesel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 1929 - Werner Arber (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1978)
- 1956 - Severine Niwemugizi, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 1821 - Egwale Seyon, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1924 - Franz Kafka, mwandishi wa Kijerumani kutoka milki ya Austria-Hungaria
- 1964 - Frans Eemil Sillanpää (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1939)
- 1977 - Archibald Vivian Hill (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1922)
- 1989 - Ayatollah Ruhollah Khomeini aliyekuwa kiongozi wa mapinduzi ya Uajemi ya 1979