Frans Eemil Sillanpää

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frans Eemil Sillanpää
Tuzo Nobel.png

Frans Eemil Sillanpää (16 Septemba, 18883 Juni, 1964) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Finland. Anajulikana hasa kwa riwaya zake, k.m. "Urithi Duni" (kwa Kifinland Hurskas kurjuus, iliyotolewa mwaka wa 1919) au "Usingizi wa Ujanani" (Nuorena nukkunut, 1931). Mwaka wa 1939 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frans Eemil Sillanpää kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.