1964
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | ►
◄◄ | ◄ | 1960 | 1961 | 1962 | 1963 | 1964 | 1965 | 1966 | 1967 | 1968 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1964 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 26 Aprili - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
- 6 Julai - Nchi ya Malawi inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 24 Oktoba - Nchi ya Zambia inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1964 MCMLXIV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5724 – 5725 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1956 – 1957 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1413 ԹՎ ՌՆԺԳ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1384 – 1385 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1342 – 1343 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2019 – 2020 |
| - Shaka Samvat | 1886 – 1887 |
| - Kali Yuga | 5065 – 5066 |
| Kalenda ya Kichina | 4660 – 4661 癸卯 – 甲辰 |
- 17 Januari - Michelle Obama, Mwanamke wa Kwanza wa Marekani tangu 2009
- 30 Machi - Tracy Chapman, mwanamuziki kutoka Marekani
- 24 Aprili - Djimon Hounsou, mwigizaji filamu kutoka Benin
- 11 Juni - Jean Garcia, muigizaji wa tamthiliya
- 1 Julai - Guillermo Martín Abanto Guzmán, askofu msaidizi Mkatoliki nchini Peru
- 26 Julai - Sandra Bullock, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Agosti - Lucky Dube, mwanamuziki wa Afrika Kusini
- 8 Agosti - Klaus Ebner, mwandishi wa Kijerumani kutoka Austria
- 2 Septemba - Keanu Reeves, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 30 Septemba - Monica Bellucci, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 20 Oktoba - Yvette Nipar, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 24 Aprili - Gerhard Domagk (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1939)
- 21 Mei - James Franck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1925)
- 3 Juni - Frans Eemil Sillanpää (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1939)
- 20 Oktoba - Herbert Hoover, Rais wa Marekani (1929-33)
- 7 Novemba - Hans von Euler-Chelpin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929)
- 17 Desemba - Victor Hess (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: