Georg von Bekesy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Georg von Bekesy

Georg von Bekesy (3 Juni 189913 Juni 1972) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Hungaria. Baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza masikio ya binadamu. Mwaka wa 1961 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Georg von Bekesy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.