19 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1897 - Cyril Hinshelwood, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 1906 - Ernst Boris Chain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 1910 - Paul Flory, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1974
- 1919 - Placidus Gervasius Nkalanga, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1945 - Aung San Suu Kyi, mwanasiasa wa Myanmar na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1991
Waliofariki [hariri]
- 1926 - Antoni Gaudi, msanifu majengo wa Hispania
- 1993 - William Golding (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1983)
- 2000 - Mary Benson, mwandishi wa kike wa Afrika Kusini
- 2008 - Noni Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini