15 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1856 - Edward Channing, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1915 - Thomas Weller (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954)
- 1917 - John Fenn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 1969 - Ice Cube (au O'Shea Jackson), mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1979 - Lady Jay Dee, mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1849 - James Polk, Rais wa Marekani (1845-1849)
- 1971 - Wendell Stanley (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 1996 - Ella Fitzgerald, mwimbaji wa kike Mmarekani wa Jazz