1983
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1979 | 1980 | 1981 | 1982 | 1983 | 1984 | 1985 | 1986 | 1987 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1983 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 19 Septemba - Nchi ya Saint Kitts na Nevis inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1983 MCMLXXXIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5743 – 5744 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1975 – 1976 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1432 ԹՎ ՌՆԼԲ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1404 – 1405 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1361 – 1362 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2038 – 2039 |
| - Shaka Samvat | 1905 – 1906 |
| - Kali Yuga | 5084 – 5085 |
| Kalenda ya Kichina | 4679 – 4680 壬戌 – 癸亥 |
- 10 Machi - Lashinda Demus, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 20 Juni - Sylvia Bahame, Mrembo wa Tanzania, mwaka wa 2003
- 24 Juni - John Lloyd Cruz, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
- 27 Julai - Blandina Changula, mwigizaji filamu nchini Tanzania
- 9 Septemba - Kristine Hermosa, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki [hariri]
- 9 Machi - Ulf von Euler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 17 Machi - Haldan Hartline, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 22 Mei - Albert Claude, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 25 Mei - Mfalme Idris I wa Libya
- 10 Septemba - Felix Bloch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952)
- 17 Oktoba - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: