24 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
- 1386 - Mtakatifu Yohane wa Kapestrano, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1883 - Victor Hess (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)
- 1927 - Martin Perl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
- 1953 - Aloyce Bent Kimaro, mwanasiasa wa Tanzania
- 1983 - John Lloyd Cruz, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki[hariri]
- 238 - Maximinus Thrax, Kaisari wa Dola la Roma
- 1908 - Grover Cleveland, Rais wa Marekani (1885-1889; 1893-1897)