1889
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | ►
◄◄ | ◄ | 1885 | 1886 | 1887 | 1888 | 1889 | 1890 | 1891 | 1892 | 1893 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1889 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
- 6 Oktoba - Kilele cha Kilimanjaro kimefikiwa mara ya kwanza.
- 15 Novemba Brazil inatangazwa kuwa jamhuri; utawala wa kifalme wa Kaisari unakwisha
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1889 MDCCCLXXXIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5649 – 5650 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1881 – 1882 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1338 ԹՎ ՌՅԼԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1307 – 1308 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1267 – 1268 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1944 – 1945 |
| - Shaka Samvat | 1811 – 1812 |
| - Kali Yuga | 4990 – 4991 |
| Kalenda ya Kichina | 4585 – 4586 戊子 – 己丑 |
- 6 Aprili - Gabriela Mistral (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1945)
- 16 Aprili - Charlie Chaplin, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 16 Aprili - Ludwig Wittgenstein, mwanafalsafa kutoka Austria
- 20 Aprili - Adolf Hitler, dikteta wa Ujerumani miaka ya 1933-45
- 21 Aprili - Paul Karrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1937
- 5 Agosti - Conrad Aiken, mwandishi kutoka Marekani
- 30 Novemba - Edgar Adrian (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932)
Waliofariki[hariri]
- 10 Machi - Yohannes IV, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 16 Desemba - Abushiri ibn Salim al-Harthi, Mtanzania aliyeongoza upinzani dhidi ya ukoloni wa Ujerumani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: