29 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1790 - John Tyler, Rais wa Marekani (1841-1845)
- 1879 - Gallus Steiger, askofu wa Peramiho, Tanzania, kutoka Uswisi
- 1927 - John Vane, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 1939 - Terence Hill, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 1941 - Joseph Taylor (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1993)
Waliofariki [hariri]
- 1058 - Papa Stefano IX
- 1888 - Charles-Valentin Alkan, mtunzi wa muziki kutoka Ufaransa
- 2006 - Moshi William (mwanamuziki Mtanzania)