16 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1751 - James Madison, Rais wa Marekani (1809-1817)
- 1800 - Ninko, Mfalme Mkuu wa 120 wa Japani (1817-1846)
- 1839 - Sully Prudhomme (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1901)
- 1918 - Frederick Reines, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
- 1975 - Sienna Guillory, mwigizaji filamu wa Kimarekani kutoka Uingereza
Waliofariki [hariri]
- 455 - Valentinian III, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (tangu 425)
- 1914 - Charles-Albert Gobat (mwanasiasa Mswisi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1902)
- 1935 - John Macleod (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1923)
- 1937 - Austen Chamberlain (mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925)
- 1940 - Selma Lagerlof (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1909)
- 1998 - Derek Barton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969