13 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1781 - Sayari ya Uranus imegunduliwa na William Herschel.
[hariri] Waliozaliwa
- 1615 - Papa Innocent XII
- 1741 - Kaisari Joseph II wa Ujerumani
- 1860 - Hugo Wolf, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 1899 - John Van Vleck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
- 1900 - Giorgos Seferis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1963)
[hariri] Waliofariki
- 1901 - Benjamin Harrison, Rais wa Marekani (1889-1893)
- 1975 - Ivo Andric (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1961)

