22 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1459 - Kaisari Maximilian I wa Ujerumani
- 1824 - Bedřich Smetana, mtunzi wa muziki kutoka Ucheki
- 1868 - Robert Millikan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1923)
- 1931 - Burton Richter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976)
Waliofariki [hariri]
- 752 - Papa Zakarya
- 1685 - Go-Sai, mfalme mkuu wa Japani (1654-1663)
- 1832 - Johann Wolfgang von Goethe, mwandishi, mwanafalsafa na mwanasiasa kutoka Ujerumani
- 2010 - James Black (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988)