9 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 9 Machi ni sikukuu ya Mtakatifu Fransiska wa Roma.
Matukio [hariri]
- 1513 - Uchaguzi wa Papa Leo X
Waliozaliwa [hariri]
- 1451 - Amerigo Vespucci, mpelelezi kutoka Hispania
- 1568 - Aloysius Gonzaga, mtawa kutoka Italia
- 1923 - Walter Kohn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1998
- 1934 - Yuri Gagarin (rubani Mrusi na mtu wa kwanza aliyefika katika anga la nje)
Waliofariki [hariri]
- 1440 - Fransiska wa Roma, mtawa mtakatifu kutoka Italia
- 1974 - Earl Sutherland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1971)
- 1981 - Max Delbruck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 1983 - Ulf von Euler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 1988 - Kurt Georg Kiesinger, Chansela wa Ujerumani (1966-1969)