1 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1896 - Waethiopia wanawashinda Waitalia katika Mapigano ya Adowa.
Waliozaliwa [hariri]
- 1839 - Modest Mussorgsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1910 - A.J.P. Martin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952)
- 1971 - Allen Johnson, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 1981 - Párvusz, msanii mchoraji kutoka Hungaria
Waliofariki [hariri]
- 492 - Papa Felix III
- 965 - Papa Leo VIII
- 1792 - Kaisari Leopold II wa Ujerumani
- 1911 - Jacobus Henricus van 't Hoff (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1901)
- 1995 - Georges Köhler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984)