7 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1693 - Papa Klementi XIII
- 1857 - Julius Wagner-Jauregg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1927)
- 1929 - Dan Jacobson, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1938 - David Baltimore (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975)
- 1970 - Rachel Weisz, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
Waliofariki [hariri]
- 322 KK - Aristoteli, mwanafalsafa kutoka Ugiriki ya Kale
- 1274 - Mtakatifu Thomas Aquinas, mwanateolojia kutoka Italia
- 1724 - Papa Innocent XIII
- 1932 - Aristide Briand (Waziri Mkuu wa Ufaransa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1926)
- 1954 - Otto Diels (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950)
- 1997 - Edward Purcell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952)
- 1999 - Stanley Kubrick, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 2006 - Ali Farka Toure (mwanamuziki kutoka nchi ya Mali)
- 2006 - Gordon Parks, msanii wa Marekani