Dan Jacobson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dan Jacobson
Amezaliwa 7 Machi 1929
Johannesburg, Afrika Kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwandishi

Dan Jacobson (amezaliwa 7 Machi 1929) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Baada ya kuhitimu Chuo Kikuu cha Witwatersrand, aliishi hasa katika nchi za Israel na Uingereza. Hasa aliandika hadithi na riwaya.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • The Trap (1955)
  • A Dance in the Sun (1956)
  • The Price of Diamonds (1957)
  • The Beginners (1966)
  • The Rape of Tamar (1970)
  • The Confessions of Josef Baisz (1977)
  • Time and Time Again (1985)
  • The Electronic Elephant: A Southern African Journey (1994)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dan Jacobson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.