Gordon Parks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gordon Parks

Gordon Roger Alexander Buchanan Parks (30 Novemba 19127 Machi 2006) alikuwa mpiga picha, mwanamuziki, mshairi, mwandishi wa habari, mwanaharakati na mwongozaji wa filamu wa Kimarekani.

Filamu alizoigiza[hariri | hariri chanzo]

  • Flavio (1964)
  • Diary of a Harlem Family (1968)
  • The World of Piri Thomas (1968)
  • The Learning Tree (1969)
  • Shaft (1971)
  • Shaft's Big Score (1972),
  • The Super Cops (1974)
  • Leadbelly (1976)
  • Solomon Northup's Odyssey (1984)
  • Martin (1989)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gordon Parks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.