1999
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1996 1997 1998 - 1999 - 2000 2001 2002 |
[hariri] Matukio
- 31 Desemba - Eneo la mfereji wa Panama limerudishwa kwa serikali ya Panama kutoka kwa utawala wa Marekani
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 15 Februari - Henry Kendall (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1990)
- 25 Februari - Glenn Seaborg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951)
- 3 Machi - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1971
- 7 Machi - Stanley Kubrick, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Aprili - Arthur Schawlow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981)
- 26 Julai – Jackson Bate (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1964)
- 14 Oktoba - Julius Nyerere (Rais wa kwanza, "Mwalimu" na "Baba wa Taifa" wa Tanzania)
- 16 Novemba - Daniel Nathans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- 17 Desemba – Comer Vann Woodward (mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1982)
- 27 Desemba - Horst Matthai Quelle, mwanafalsafa kutoka Ujerumani