1997
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1993 | 1994 | 1995 | 1996 | 1997 | 1998 | 1999 | 2000 | 2001 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1997 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1997 MCMXCVII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5757 – 5758 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1989 – 1990 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1446 ԹՎ ՌՆԽԶ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1418 – 1419 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1375 – 1376 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2052 – 2053 |
| - Shaka Samvat | 1919 – 1920 |
| - Kali Yuga | 5098 – 5099 |
| Kalenda ya Kichina | 4693 – 4694 丙子 – 丁丑 |
Waliofariki [hariri]
- 8 Januari - Melvin Calvin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1961)
- 10 Januari - Alexander Todd (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1957)
- 12 Januari - Charles Huggins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 7 Machi - Edward Purcell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952)
- 12 Aprili - George Wald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 2 Mei - John Eccles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 22 Mei - Alfred Hershey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 8 Juni - Amos Tutuola, mwandishi kutoka Nigeria
- 2 Agosti - Fela Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 23 Agosti - John Kendrew (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1962)
- 5 Septemba - Mama Teresa (Agnes Bojaxhiu)
- 7 Septemba - Mobutu Sese Seko, Rais wa nchi ya Zaire
- 16 Oktoba - James Michener (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1948)
- 8 Desemba - Kardinali Laurean Rugambwa wa Dar es Salaam
Wikimedia Commons ina media kuhusu: