Charles Huggins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles Brenton Huggins (22 Septemba 190112 Januari 1997) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza uhusiano kati ya homoni na kensa. Mwaka wa 1966, pamoja na Peyton Rous alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Huggins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.