Fela Kuti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fela Kuti (15 Oktoba 1938 – 2 Agosti 1997) alikuwa mwanamuziki wa Nigeria. Jina lake la kuzaliwa ni Olufela Olusegun Oludotun Ransome-Kuti. Alikuwa anapiga muziki wa Afrobeat.
Albamu kadhaa [hariri]
- Live! (1971)
- Why Black Man Dey Suffer (1971)
- Stratavarius (1972)
- Shakara (1972)
- Roforofo Fight (1972)
- Gentleman (1973)
- Confusion (1975)
- Everything Scatter (1975)
- He Miss Road (1975)
- Expansive Shit (1975)
- Kalakuta Show (1976)
- Zombie (1976)
- Upside Down (1976)
- Stalemate (1977)
- Observation No Crime (1977)
- No Agreement (1977)
- Sorrow, Tears and Blood (1977)
- Shuffering and Shmiling (1978)
- Internatinal Thief Thief (1979)
- Music of Many Colours (con Roy Ayers, 1980)
- Original Sufferhead (1981)
- Coffin for Head of State (1981)
- Teacher Don't Teach Me Nonsense (1986)
- Beasts of No Nation (1989)
- Confusion Break Bones (1990)
- Underground System (1992)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fela Kuti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |