1979
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | ►
◄◄ | ◄ | 1975 | 1976 | 1977 | 1978 | 1979 | 1980 | 1981 | 1982 | 1983 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1979 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 11 Februari - Mapinduzi ya Uajemi
- 1 Aprili - Nchi ya Iran inatangazwa kuwa Jamhuri ya Kiislamu.
- 21 Septemba - Serikali ya Jean Bedel Bokassa, Kaisari ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, imepinduliwa
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1979 MCMLXXIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5739 – 5740 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1971 – 1972 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1428 ԹՎ ՌՆԻԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1399 – 1400 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1357 – 1358 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2034 – 2035 |
| - Shaka Samvat | 1901 – 1902 |
| - Kali Yuga | 5080 – 5081 |
| Kalenda ya Kichina | 4675 – 4676 戊午 – 己未 |
- 16 Januari - Aaliyah, mwimbaji na mwigizaji filamu wa Marekani
- 24 Januari - Tatyana Ali, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 11 Februari - Brandy Norwood, mwimbaji kutoka Marekani
- 19 Februari - Mariana Ochoa, mwanamuziki na mwigizaji filamu kutoka Mexiko
- 15 Juni - Lady Jay Dee, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 30 Agosti - Kali Ongala, mchezaji mpira kutoka Tanzania
- 18 Septemba - 2Face Idibia, mwimbaji wa Nigeria
- 22 Septemba - Jericho Rosales, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
- 8 Oktoba - Kristanna Loken, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 5 Januari - Charles Mingus, mwanamuziki wa Marekani
- 8 Februari - Dennis Gabor (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1971)
- 2 Mei - Giulio Natta (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1963)
- 1 Juni - Werner Forssmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 8 Julai - Shinichiro Tomonaga (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)
- 8 Julai - Robert Woodward (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1965)
- 8 Agosti - Feodor Lynen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 12 Agosti - Ernst Boris Chain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 1 Novemba - Mamie Eisenhower, mke wa Rais Dwight D. Eisenhower, na Mwanamke wa Kwanza wa Marekani (1953-61)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: