Jericho Rosales

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jericho Rosales
Jericho Rosales akiwa katika pozi.
Jina la kuzaliwa Jericho Vivar Rosales
Alizaliwa 22 Septemba 1979, Ufilipino
Kazi yake Mwigizaji, mwimbaji, mtunzi na mtangazaji.
Mahusiano Kristine Hermosa.

Jericho Vivar Rosales (amezaliwa tar. 22 Septemba 1979 mjini Quezon, Ufilipino) ni mwigizaji wa kifilipino. Alianza kazi ya uigizaji baada ya kushinda katika mashindano ya Mr. Pogi (mashindano ya Urembo yanayohusisha wanaume) mwaka 1996. Echo, kama anavyojulikana na wengi, ameumbwa na vipaji vingi.Yeye ni muigizaji, muimbaji, mtunzi wa nyimbo, mchezaji(mnenguaji) na muongozaji(aliongoza video za nyimbo mbili na alishirikiana kuongoza na Gary Valenciano katika matamasha yake ya Music Music hapo 18 Oktoba mpaka 19, 2007).

Echo alijiunga Star Circle mnamo 1997. Katika maonesho madogo, Alishiriki katika tamthilia kama Maalaala Mo Kaya, Pangako sa Yo, Sana'y Wala Nang Wakas na Ang Panday. Tamthilia ya Pangako sa Yo ilimfanya kuwa maarufu mno sio tu Phillipines bali hata katika mataifa ya Kusini-Mashariki Mwa Asia kama vile Malaysia.

Rosales alishiriki kama nyota katika filamu mahiri za Tanging Yaman, Baging Buwan, Noon at Ngayon, Santa Santita na Nsaan Ka Man. Yeye pia alishirikishwa katika timu ya wapenzi pamoja na Kristine Hermosa katika filamu za Trip, Forevermore, na Ngayong Nandito Ka. Filamu yake ya hivi karibuni ililenga maisha halisi ya Mwanandondi maarufu wa Ufilipino, Manny Pacquiao.

Mnaomo mwezi Machi mwaka 2006, EMI Malaysia walisaini na Rosales na Bendi yake ya Jeans (yeye ni mwimbaji kiongozi na mtunzi wa karibu nyimbo zote za hiyo bendi) album yao ya kwanza iliitwa Loose Fit.

Filamu Alizocheza[hariri | hariri chanzo]

Jina Mwaka Mtengenezaji
Pacquiao 2006 Star Cinema/FLT Films
Nasaan Ka Man 2005 Star Cinema
Santa Santita 2004 Unitel Productions
Noon at Ngayon 2003 Star Cinema
Ngayong Nandito Ka 2003 Star Cinema
Kailangan Kita 2002 Star Cinema
Forevermore 2002 Star Cinema
Bagong Buwan 2001 Star Cinema
Trip 2001 Star Cinema
Tanging Yaman 2000 Star Cinema
Suspek 1999 Star Cinema
Wansapanataym: The Movie 1999 Star Cinema
Magandang Hatinggabi 1998 Star Cinema
Biyudo si Daddy, Biyuda Si Mommy 1997 Star Cinema
Hanggang Kailan Kita Mamahalin? 1997 Star Cinema

Tamthilia Alizocheza[hariri | hariri chanzo]

Jina Mwaka
Pangarap Na Bituin 2007
Love Spell presents Ellay Enchanted 2007
Ang Panday (TV series) 2005-2006
Bora: Sons of the Beach 2005-2006
Sana'y Wala Nang Wakas 2003-2004
Pangako sa 'Yo 2000-2002
Richard Loves Lucy 1998-2000
Ang Munting Paraiso 1999-2002
Esperanza (TV series) 1997-1999
Okatokat 1997-2000
Kaybol 1996-1998
Nagmamahal Pa Rin Sa Iyo 1995-1996

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Filamu/Tamthilia Kama Shirika
Pacquaio Muigizaji Bora PASADO 2007
Pacquiao Muigizaji Bora (akiwa na Piolo Pascual) 23rd PMPC Star Awards for Movies 2007
Timu ya wapenzi Maarufu zaidi (akiwa na Krisine Hermosa) Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 2002
Kundi la Kutumainiwa zaidi (The Hunks akiwa na Piolo Pascual, Bernard Palanca, Carlos Agassi, na Diether Ocampo) Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 2002
Prince of Philippine Movies Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 2001
Timu ya wapenzi Maarufu zaidi (akiwa na Kristine Hermosa) Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 2001
Maalaala Mo Kaya "Pasa" Mchezaji Bora pasi na mwenza na Muigizaji Kiongozi PMPC Star Awards for TV 2000
Muigizaji Kijana bora wa kiume Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 1999
Maalaala Mo Kaya "Pampang" Mchezaji Bora pasi na mwenza na Muigizaji Kiongozi PMPC Star Awards for TV 1998
Muigizaji mpya bora wa Televisheni Parangal ng Bayan 1998
Best New TV Personality PMPC Star Awards for TV 1998

Kuchaguliwa[hariri | hariri chanzo]

Kuchaguliwa Kwenye Filamu[hariri | hariri chanzo]

Jina Kama Shirika
Pacquiao Muigizaji Bora FAMAS Awards 2007
Pacquiao Muigizaji Bora(Hadithi) ENPRESS Golden Screen Awards 2007
Nasaan Ka Man Muigizaji Bora FAMAS Awards 2006
Santa Santita Muigizaji Bora LUNA (formerly Film Academy of the Philippines) 2005
Santa Santita Muigizaji Bora PMPC Star Awards for Movies 2005
Santa Santita Muigizaji Bora(Hadithi) ENPRESS Golden Screen Awards 2005
Noon at Ngayon Muigizaji Bora Msaidizi Gawad Urian 2004
Tanging Yaman Muigizaji Bora Msaidizi Gawad Urian 2001
Tanging Yaman Muigizaji Bora Msaidizi Film Academy of the Philippines 2001
Tanging Yaman Muigizaji Bora Msaidizi FAMAS Awards 2001
Tanging Yaman Muigizaji Bora Msaidizi PMPC Star Awards for Movies 2001
Tanging Yaman Muigizaji Bora Msaidizi Metro Manila Film Festival 2000

Kuchaguliwa Kwenye Televisheni[hariri | hariri chanzo]

Jina Kama Shirika
Ang Panday (TV series) Muigizaji Bora PMPC Star Awards for TV 2006
Sana'y Wala Nang Wakas Muigizaji Bora PMPC Star Awards for TV 2004
Sana'y Wala Nang Wakas Muigizaji Bora ENPRESS Golden Screen Entertainment TV Awards 2004
Pangako Sa 'Yo Muigizaji Bora PMPC Star Awards for TV 2001

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Jina Kundi Mwaka
Hunks Live Hunks 2001
Loose Fit Jeans 2006

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]